🎵 AFRICAST MUSIC
Bilnass, D Voice & Mzee Bwasi
Mama Yangu • Muziki Mpya 2026
"Mama Yangu" ni wimbo mpya wa kumuenzi na kumshukuru mama. Bilnass, D Voice na Mzee Bwasi wameunganisha nguvu kuleta ujumbe wa upendo, heshima na shukrani kwa wamama wetu. Wimbo una vibe ya Bongo Fleva iliyochanganyika na sauti za kipekee - hakika utagusa mioyo mingi ❤️
🎤 Wasanii: Bilnass, D Voice & Mzee Bwasi
🎵 Jina la Wimbo: Mama Yangu
🌍 Inapatikana: YouTube, Audiomack, Spotify, Boomplay
🎵 Jina la Wimbo: Mama Yangu
🌍 Inapatikana: YouTube, Audiomack, Spotify, Boomplay
❤️ "Mama Yangu" imetoka kwa ajili yako. Mtag mama yako kwenye comment na mpe shukrani 👇
⚠️ HAKI MILIKI
Haki zote za wimbo huu ni za Bilnass, D Voice, Mzee Bwasi na kampuni ya rekodi. Post hii ni kwa ajili ya kutangaza muziki tu. AfricastMusic haitunzi faili la sauti. Tafadhali wasaidie wasanii kwa kutumia link rasmi hapo juu.