🎵 AFRICAST MUSIC
Juma Jux
SEXY BAD • Muziki Mpya 2026
"SEXY BAD" ni wimbo mpya wa kimapenzi kutoka kwa mfalme wa Bongo Fleva Juma Jux. Wimbo huu una vibe ya Afrobeat ukichanganywa na R&B. Jux anaelezea jinsi mpenzi wake alivyo mzuri na "sexy bad" kiasi cha kumfanya apotee. Ni wimbo utakao cheza klabu na pia utafaa kwa date yako.
🎤 Msanii: Juma Jux
🎵 Jina la Wimbo: SEXY BAD
🌍 Inapatikana: YouTube, Audiomack, Spotify, Boomplay
🎵 Jina la Wimbo: SEXY BAD
🌍 Inapatikana: YouTube, Audiomack, Spotify, Boomplay
❤️ Umeipendaje "SEXY BAD"? Weka comment yako hapa chini 👇
⚠️ HAKI MILIKI
Haki zote za wimbo huu ni za Juma Jux na kampuni ya rekodi. Post hii ni kwa ajili ya kutangaza muziki tu. AfricastMusic haitunzi faili la sauti. Tafadhali wasaidie wasanii kwa kutumia link rasmi hapo juu.